MWIGULU NCHEMBA ATOA SABABU ZA TOZO MPYA YA MIAMALA YA SIMU

                               

Wazriri wa Fedha na mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa sababu za ongezeko la kodi kwenye miamala ya simu kwa mitandao yote.

 Amesema hayo alipokuwa katika mahojiano na idhaa ya Taifa TBC1,na kuongeza kuwa kufanya    hivyo ni kutokana na kuwepo kwa changamoto nyingi za upungufu wa Miundombinu kwenye sekta    mbali mbali ( Hospitali,Shule,Barabara, Vivuko, nk.) 

Aidha Dkt Nchemba amesema kuwa  kumekuwepo na shida kwenye mahospitali  hususani vitanda, wodi, nk,hali inayopelekea adha kubwa kwa mama wajawazito kupoteza maisha au vichanga.

FULL STORY TUMEKUWEKEA VIDEO YAKE HAPA


 

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement